Waendelee yaadhimisha siku ya Upandaji Miti Kiwilaya
- News and Events
- Jan 09, 2017
- 194 Views
Asasi ya WAENDELEE kwa kushirikiana na serikali ya Wilaya ya Singida, wadau mbalimbali wa mazingira pamoja na wananchi wameadhimisha siku ya upandaji miti kiwilaya.Maadhimisho hayo yamefanyika kwa kupanda miti pembezoni mwa bwawa la Masoghweda...
Waendelee Wairwana Wamkabidhi Mkuu Wa Mkoa Wa Singida Madawati Elfu Moja
- News and Events
- Sep 09, 2016
- 216 Views
Asasi isiyo ya Kiserikali ya wakazi wa tarafa za Ilongero, Mtinko na Mgori ya WAENDELEE yenye mkusanyiko wa watu wenye jamii ya Wairwana wamemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew J Mtigumwe mchango wa madawati 1055 yenye thamani ya...
Info about Singida, Singida Region, Tanzania
- News and Events
- Jan 13, 2016
- 224 Views
Singida region is Singida Region, Singida Urban District, in Tanzania (TZ). latitude is -4.8162900, and longitude is 34.7435800. With a population of 62.432 citizens, its timezone is Africa/Dar_es_Salaam (Africa/Dar_es_Salaam_cet). In Singida you...
Singida Wafundishwa Upandaji Miti, Ufungaji Wa Nyuki Na Ujasiriamali
- News and Events
- Aug 27, 2015
- 180 Views
Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Amina Sanga akitoa mada ya Ujasiriamali kwa wanasemina wa Kikundi cha Wirwana Association For Empowerment and Development Tanzania wakati wa mafunzo ya Ujasiriamali, Upandaji...




