Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Amina Sanga akitoa mada ya Ujasiriamali kwa wanasemina wa Kikundi cha Wirwana Association For Empowerment and Development Tanzania wakati wa mafunzo ya Ujasiriamali, Upandaji miti na Ufugaji bora wa nyuki iliyofanyika Mkoani Singida hivi karibuni.

  • Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Amina Sanga akitoa mada ya Ujasiriamali kwa wanasemina wa Kikundi cha Wirwana Association For Empowerment and Development Tanzania wakati wa mafunzo ya Ujasiriamali, Upandaji miti na Ufugaji bora wa nyuki iliyofanyika Mkoani Singida hivi karibuni.
  • Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Amina Sanga akimsikiliza mmoja wa wanafunzi katika Kikundi cha Wirwana Association For Empowerment and Development Tanzania wakati wa mafunzo Ujasiriamali, Upandaji miti na Ufugaji bora wa nyuki iliyofanyika Mkoani Singida hivi karibuni.
  • Mgeni rasmi wa pili kutoka kushoto waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na wanakikundi cha Wirwana Association For Empowerment and Development Tanzania mara baada ya mafunzo Ujasiriamali, Upandaji miti na Ufugaji bora wa nyuki iliyofanyika Mkoani Singida hivi karibuni.